POPULAR ROUTES
Dar es Salaam to Mwanza
Dar es Salaam to Shinyanga
Dar es Salaam to Nzega
Mwanza to Dar es Salaam
Mwanza to Morogro
Shinyanga to Dar es Salaam
ABOUT US

Karibu KATARAMA LUXURY kampuni ya usafirishaji abiria na vifurushi kutokea Dar es salaam na kuelekea mkoa wa Mwanza huku tukipitia Dodoma, Manyoni, Ikungi, Singida, Shelui, Igunga, Nzega, Tinde, Shinyanga, Misungwi hadi Jiji la miamba Mwanza. Bus zetu ni za kisasa zaidi na zenye ubora wa hali ya juu huku ukiendelea kufurahia huduma bora tokea ndani ya bus ambapo utakutana na:

Full AC

Soft Drinks

TV & Music

Modern Seats

"KARIBU USAFIRI NASI KATARAMA LUXURY UJIONEE MAANA SAHIHI YA NENO LUXURY."